Msaada: Nataka kufuta account yangu ya FB, nimesahau Password na nime-log out muda tu

Msaada: Nataka kufuta account yangu ya FB, nimesahau Password na nime-log out muda tu

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
182
Reaction score
261
Ndugu zangu habarini za asubuhi.

Jamani nahitaji msaada jinsi ya kufuta account yangu ya FB, lakini nimesahau Pasword na nime-log out muda tu.

Nimejitahidi sana kuomba Pasword Lkn imekuwa changamoto, Ule msimbo hautumwi. Nimeomba kila siku ndani ya siku 25 lkn imeshindikana.

Hata sijui ni kwanini, na sio kwamba nakosea namba hapana. Lakini msimbo hauji ili nibadili pasword.

Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata pasword mpya kwa njia nyingine ajitokeze tafadhali, Au anaeweza kunisaidia nikafuta hiyo account nikiwa nje ya FB.

Ukiisachi kupitia FB ya mtu mwingine hiyo Account yangu unaiona ipo tu.

Nafikiri nimeeleweka ndugu zangu, Msaada Tafadhali.

Msaada.

#forgive me.
 
Kama unakumbuka email hilo swala dogo sana mkuu ukireset kwa email.
 
Recover password kwa namba ya simu au email, then log in, nenda kwenye account ownership and control, kuna option ya kufuta account.
 
Back
Top Bottom