Msaada nataka kuingia kwenye biashara ya magari

munyiha

Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
12
Reaction score
12
Habari wana jukwaa

Nina partiner wangu yupo Japan anaishi south Africa ni car dealer....ameniambia nisajili custom bond ware house na kampuni commission agent company.amedai nikifanya hivyo atakuwa ananipa mzigo wa magari niwe namuuzia kwa commission.

Kupitia hili ndugu zangu wana jukwaa naomba mnisaidie umuhim na maana ya hivi vitu....
bond ware house
commission agent company
vigezo ma taratibu za kupata bond ware house na ni office gan inatakiwa nifwatilie
 
Bonded warehouse unapata licence yake ofisi za customs TRA kama sijakosea na detail zote za ziada utazipata huko. Na kuhusiana na maswala ya commission ni simple pia, yani ww unakua agent wa huyo anaekuletea magari na ww ukiuza revenue/mauzo yako unayapata in form of asilimia kadhaa ya thamani kamili ya gari ulilouza. Kabla yakufanya hii biashara hakikisha unaijua vizuri nje ndani na unawajua watu wanaohusika kwny mnyororo wa thamani wa biashara hio. Kama madalali, watu wa bima, ma fixer and so on and so forth. Na pia cha muhimu kuliko vyote ni eneo😂😂laku accomodate mzigo wa hayo magari. Wengine watafafanua zaidi ila mi ndo hayo tu.
 

Hehehe

Kuna Gharama Za Pango....
Kuna watu pale mlimani city hayo magari wanaishia kuyapiga picha tu.
Hehe noma sanaa
 
Nitakaa hapa kupata maujuzi Mungu akipenda nianzishe biashara hii.
 
Na ndo njia rahisi hio..kua middle man wa agent wa hapa bongo[emoji23][emoji23]wee ni kula vichwa tu.

Ndio Mkuu Kuna Madalali Wana Make Hela Kibao na Hawana Showroom Hata Moja Wala Msingi wa Gari Hata Moja.
 
Boss.. fungua wala usijali. Madalali watalusaidia kuuza hata gari 8 kwa week. Tengeneza tu connection nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…