mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hana haki ya kulalamikia humuUko sahihi, una haki ya kulalamika. Lakini utajizulia vita itskayokunyima usingizi na kukupa kero kubwa zaidi kuliko uliyonayo sasa. Nakushauri uwe mpole tu, vinginevyo hawa waswalaji watakusumbua sana. Unaweza pia kuhama hapo! Vita unayowaza kuianzisha itakutesa! Utatesa familia yako pamoja na kuwa una haki!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunguni mkubwa wewe...Ukhanisi huo. Amkeni mkaswali. Unataka kumshtaki kwa faida yako mwenyeo. Kamshtaki uwone Kitakachotokea. Niko Tayari kufa na ww kwa lolote lile na liwe. Unafikiri Allah atakutizama t
Sent using Jamii Forums mobile app
Waswalaji hatuwajui...tunajua wanaosali...muwe na heshima mnapo point watu wafanyao ibada hata kama sio katika dini yenu...eti waswalajiUko sahihi, una haki ya kulalamika. Lakini utajizulia vita itskayokunyima usingizi na kukupa kero kubwa zaidi kuliko uliyonayo sasa. Nakushauri uwe mpole tu, vinginevyo hawa waswalaji watakusumbua sana. Unaweza pia kuhama hapo! Vita unayowaza kuianzisha itakutesa! Utatesa familia yako pamoja na kuwa una haki!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi haya matusi pia mnafundishwa huko kwenue hiyo dini yenu?Thread nyingine za kipuuzi kabisa...sasa ndo mmekuja kushtaki JF??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ulilazimishwa kukaa hapo ama tu yaani watu waache kuamshwa kwenda kufanya ibada kisa wewe eti unaogopa kuambiwa kua utakufa
Acha usenge wako,
Ukhanisi huo. Amkeni mkaswali. Unataka kumshtaki kwa faida yako mwenyeo. Kamshtaki uwone Kitakachotokea. Niko Tayari kufa na ww kwa lolote lile na liwe. Unafikiri Allah atakutizama t
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiangalia avator yangu utajua kabisa mi ni imani gani ila si amini kabisa katika kutukana watu kuwadhuru ili kutetea dini [HASHTAG]#gaidi[/HASHTAG]
Usikae kujitetea eti una imani...labda imani ya kishetani...wahi kashtaki usijichelewesheUkiangalia avator yangu utajua kabisa mi ni imani gani ila si amini kabisa katika kutukana watu kuwadhuru ili kutetea dini [HASHTAG]#gaidi[/HASHTAG]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofautisha dini na ugaidi, kwa majibu yako naona huu mdororo wa uchumi haujakuacha salama hasira zako unanimalizia mimi wengine wote wamriacha mada unakuja wewe utafikiri umetukanwa in person, ama nilifikiri utakuja na hoja ya kuelimisha ulazima na umuhimu awa mameno yale kwenye adhana ya sala ya alfajiri we unakuja na matusi. mtu kama wewe hata nikikuuliza 5 pillars naamini huzijui.Usikae kujitetea eti una imani...labda imani ya kishetani...wahi kashtaki usijicheleweshe
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno mengi ya nini???...hakuna sehemu niliyokutukana...nimekuita mpuuzi kwa upuuzi uliotuma...acha msururu wa maneno wahi kaifungilie file nyumba ya ibadaTofautisha dini na ugaidi, kwa majibu yako naona huu mdororo wa uchumi haujakuacha salama hasira zako unanimalizia mimi wengine wote wamriacha mada unakuja wewe utafikiri umetukanwa in person, ama nilifikiri utakuja na hoja ya kuelimisha ulazima na umuhimu awa mameno yale kwenye adhana ya sala ya alfajiri we unakuja na matusi. mtu kama wewe hata nikikuuliza 5 pillars naamini huzijui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na assume hiyo ni Dar es salaam ,kukumbusha tu asilimia kubwa ya wakazi wa awali wa jiji hili ni waislam ni taratibu zao za ibada kwa mujibu wa dini yao kuamshana na kukumbushana muda wa sala ya alfajr na utakuwa umewakuta na taratibu hizi vumilia tu au rudi kwenu ulipotoka ukagonge kengele!Sina tafsiri sahihi ya hili neno "uhuru wa kuabudu" ila naona kama watu wanaitafsiri tofauti wanapitiliza.
K7na nyumba ya ibada hapa jirani huwa wanaamsha watu kwa ajili ya kuswali lakini maneno anayotumia ni ya kuogopesha mpaka kuleta tahruki katika familia yangu.
Naweza kumnukuu "Amkeni mkaswali hizo nyumba zenu hapa naona kama ni makaburi na hicho kitanda ulicholalia ni kama jeneza hilo shuka ulilojifunika ndo sanda amkaaaaa amkaaa".
Haya maneno yakikuamsha usingizini huwezi kulala tena, hii inapelekea familia nzima kushindwa kulala.
Nafikiria kupata msaada wa kisheria.
Sent using Jamii Forums mobile app