Msaada: Nataka kuishitaki nyumba ya ibada iliyo jirani na nyumba yangu

Acha u.j.In.Ga sawaa!!

Kwani wameanza leo !!

Si uhame wewe unaeona ni kero au
kisa mgeni humu umependa tu kuanzisha uzi !!
 
Dawa ni kukaa mbali nao itakusaidia kutosikia hizo kelele
 
Acha u.j.In.Ga sawaa!!

Kwani wameanza leo !!

Si uhame wewe unaeona ni kero au
kisa mgeni humu umependa tu kuanzisha uzi !!
Wengine wanakuja kukejeli dini za wenzao..nakumbuka kabla ya wiki mbili kuna mmoja alileta mada kama hii..halafu kwa kuchomeka uongo ndio wenyewe...msikiti gani wanaoadhini saa 8 za usiku..yaani mijitu mingine hovyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kaka, nakumbuka mwaka 2005 kuna mtu alijitolea kiwanja chake ili ijengwe nyumba ya ibada ni kiwanja cha pili tu kutoka nyumbani kwangu, na cha ajabu jengo hilo la ibada lilijengwa bila hata kufuata taratibu za kubadirisha matumizi ya kiwanja, Basi usiku wanapoamshana kuabudu spika utadhani zimefungwa chumbani kwangu nashukuru Mungu nilikuwa na kiwanja eneo lingine nimehamia huko pale nilipangisha na baadaye nikafanikiwa kumuuzia mtu ambaye hizo sauti za Spika zinamuhusu. Sema binaadam tulio wengi tuna hofu ya Mungu majirani wote tuliogopa kwenda Manispaa kuomba lile jengo livunjwe kwasababu limejengwa katika kiwanja cha makazi na siyo eneo la nyumba za Ibada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…