The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Habari wajamii wenzangu!
Sitafuti madalali wala wateja kwani ninao, natafuta ufahamu. Mimi nina mawe ambayo kwa picha nilizomtumia jamaa yangu ananambia ni aquamarine. Tumekubaliana wiki ijayo aje tu negosiate, sasa mimi shughuli zangu ni dhahabu, hivi vya germstone huwa naviona kama vya kiajabu sivijui, ninaomba ushauri hivi zinauzwaje?
Mimi nina gram 400 zinaangaza vizuri sana na zinang'aa sana na hazina creaks,yeye aliniuliza maswali hayo ndo maana nimehisi zitakuwa ndo vigezo vya kuuza, nachoomba mnipe estimate ya bei zake na zinavyouzwa.
Asanteni..