Msaada: Nataka kujua soko la Aquamarine

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Habari wajamii wenzangu!

Sitafuti madalali wala wateja kwani ninao, natafuta ufahamu. Mimi nina mawe ambayo kwa picha nilizomtumia jamaa yangu ananambia ni aquamarine. Tumekubaliana wiki ijayo aje tu negosiate, sasa mimi shughuli zangu ni dhahabu, hivi vya germstone huwa naviona kama vya kiajabu sivijui, ninaomba ushauri hivi zinauzwaje?

Mimi nina gram 400 zinaangaza vizuri sana na zinang'aa sana na hazina creaks,yeye aliniuliza maswali hayo ndo maana nimehisi zitakuwa ndo vigezo vya kuuza, nachoomba mnipe estimate ya bei zake na zinavyouzwa.

Asanteni..
 
leo jamii forum imeshindwa nijibu
 
Bei ya gemstone inategemea vigezo vingi kama ukubwa, umbo, rangi, upenyeshaji mwanga, mipasuko, uchafu, ubadilikaji rangi n.k. Unaweza kutuona Morogoro Mining Cooperative Society (MOMICOSO) kwa ushauri zaidi
 
sijaona jibu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…