Chomo
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 250
- 662
Wakuu hivi karibuni natarajia kununua chombo cha moto (piki piki)
Mapendeleo yng ni kuwa na piki piki aina ya boxer,lkn naziona zipo tofaut tofaut,zingne nasikia zinaitwa mdomo wa mamba..
Kwa anaejua tafadhari;
Ni hayo tu.
Mapendeleo yng ni kuwa na piki piki aina ya boxer,lkn naziona zipo tofaut tofaut,zingne nasikia zinaitwa mdomo wa mamba..
Kwa anaejua tafadhari;
- Ipi ni Boxer imara zaid kuliko nyingne?
- Bei yake imesimama ngapi huko madukani?
- Nasikia zinauzwa kwa mawakala wa Mo, je ni wakala yupi nitapata kwa urahisi na bei ya unafuu?
Ni hayo tu.