Msaada: Nataka kujua utumikaji wa mafuta kwenye Valve Matic Engine

Msaada: Nataka kujua utumikaji wa mafuta kwenye Valve Matic Engine

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Huu ni mfumo mpya mbadala wa VVTi upo kwenye gari aina ya Allion 2009 na premio 2009. Mwenye gari aina hizo naomba ufafanuzi wa matumizi ya mafuta
BG653586_86c8fb.jpg
 
there is no much difference between the two, valvematic is an improvement on the "Variable Valve Timing" with intelligence technology, so you will expect to get 5-10% difference in fuel economy and 10% in power output....meaning vavematic is better than VVT-i
 
Nimeona gari nyingi ndogo sasa hivi zinatumia hii engine ya valve matic na zikiwa na cc1790 kuhusu ubora wanasema ni nzuri zaidi ya VVTI ila tunahitaji kwa mtu aliyeitumia hasa labda alete ushahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mwenye ufahamu na hii engine au ndio watu hawazitumii
 
Mimi kwa sasa natumia yenye valve matic engine siwezi kusema nibaya kwa kua hazijanipa shida ila ina nguvu sana kwa sababu valve matic ni kitu kinaongezwa kuipa nguvu gari kama ilivyo turbo...engine zenye valve matic ni kuanzina cc1790 ambayo ukiwa kwenye highway inakupa matumizi bora sana ya mafuta hasa ukimaintaine eco driving ila kwa town/urban trip inakupa range ya 8.5 to 9.5 km/l
 
Back
Top Bottom