Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
Kwanini ?? Toa facts kabla hujaenda conclusionAchana nayo mkuu, bora uendelee na kazi yako ya kuuza genge la nyanya na vitunguu
Ndio mana niliogopa kukubali kisa sijaona faida nimeona hasara tuIyo sio kazi.
MnalipanajeNdio mana niliogopa kukubali kisa sijaona faida nimeona hasara tu
Ndio huo msaada nisaidie basi niwapate?? Halafu tunagawana commissionHuku JF wadosi wamejaa, watayanunua hata ikiwa 500M.
Lisikuwazishe hilo
Commission hii kazi ningumuMnalipanaje
Nenda Kwa MWAMPOSA au Tafuta mganga nguri ung'arishe nyota yako kwanza...Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja, nawapata wapi.
Kupitia nyie naomba ushauri ni kuuza magari ya aina zote hadi umpate mtu akubali kununua gari la ml 25 au ml 200 huwa mnawapataje?? Naomba ushauri kabla sijakubaliana
Halafu ndio nikubali kazi hiyoNenda Kwa MWAMPOSA au Tafuta mganga nguri ung'arishe nyota yako kwanza...
Ni kweliWatu wanauza matrekta ambayo ni mapya (yaani yasiyo na jina kubwa) na bado yanauzika. Usiogope kuwa utakosa wateja, usitangulize kushindwa kabla hata hujaanza kazi.
Fanya kazi, tumia mtandao, tengeneza vipeperushi nk wateja watakuja. Usisahau kuomba Mungu kwa kila jambo.
Commission hii kazi ningumu
Umasikini mbaya sana. Kwa mazingira hayo means mzigo wa bizines nae anaubeba japo haja weka mtaji.Watu wanauza matrekta ambayo ni mapya (yaani yasiyo na jina kubwa) na bado yanauzika. Usiogope kuwa utakosa wateja, usitangulize kushindwa kabla hata hujaanza kazi.
Fanya kazi, tumia mtandao, tengeneza vipeperushi nk wateja watakuja. Usisahau kuomba Mungu kwa kila jambo.
Ni magari kweli cars au code mi sijaelewa? πππUnique Flower πΈπππ