Umemueleza vyema.Kwa ufupi ni unagewa kazi ya kua Sales and Marketing officer.
Mara nyingi hizi kazi malipo yako ni commission so unachotakiwa ni kua na taarifa sahihi za bidhaa yako. Mfano umesema utauza magari hivyo ukiwa unaongea na mtu unakua unajua hili gari ni la mwaka gani, lina uwezo gani, udhaifu wake ni nini, ili liendelee kua imara nini kifanywe na nini kisifanywe.
Pia jua mteja wako. Hii itasaidia kumletea mtu bidhaa sahihi kulingana na unavyomjua.
Jitahidi kua mkweli na muwazi.
Kwa kazi za sales kwa maoni yangu hivyo viwili vya kwanza hakikisha unavimaster mapema, kisha mengine yatakuja. Haswa haya ya connection.
Na usiniquote vibaya ukahisi ni ishu nyepesi, hapana ni ngumu, wepesi utakuja baadaye.
We hapa huna hasara ya kipesa ila muda.Ndio mana niliogopa kukubali kisa sijaona faida nimeona hasara tu
Ukifuata Moja ya nilicho kushaur utakuja kutupa mrejesho wa kustaajabishaa....Halafu ndio nikubali kazi hiyo
Bhana weweeUkifuata Moja ya nilicho kushaur utakuja kutupa mrejesho wa kustaajabishaa....
Nenda Kwa MWAMPOSA na agenda yako then utapata ma connection mpaka ushangae...
Tumia social media vizuri.. kuwafikia watejaNataka kukubali kazi ambayo sijui wateja, nawapata wapi.
Kupitia nyie naomba ushauri ni kuuza magari ya aina zote hadi umpate mtu akubali kununua gari la ml 25 au ml 200 huwa mnawapataje?? Naomba ushauri kabla sijakubaliana
Umenena vyema!Kwa ufupi ni unagewa kazi ya kua Sales and Marketing officer.
Mara nyingi hizi kazi malipo yako ni commission so unachotakiwa ni kua na taarifa sahihi za bidhaa yako. Mfano umesema utauza magari hivyo ukiwa unaongea na mtu unakua unajua hili gari ni la mwaka gani, lina uwezo gani, udhaifu wake ni nini, ili liendelee kua imara nini kifanywe na nini kisifanywe.
Pia jua mteja wako. Hii itasaidia kumletea mtu bidhaa sahihi kulingana na unavyomjua.
Jitahidi kua mkweli na muwazi.
Kwa kazi za sales kwa maoni yangu hivyo viwili vya kwanza hakikisha unavimaster mapema, kisha mengine yatakuja. Haswa haya ya connection.
Na usiniquote vibaya ukahisi ni ishu nyepesi, hapana ni ngumu, wepesi utakuja baadaye.
Pia usisahau kuwa wengi sana wametumika.Kafanye Kaz,Kuna mtu na mfahamu imemtoa hiyo Kaz...yupo mbali kifedha
Piga picha tupostie huku, wateja wapo wa kumwagaNdio huo msaada nisaidie basi niwapate?? Halafu tunagawana commission
Oo kutumika si tatizo .... tatizo ni pesa kama haielewekiPia usisahau kuwa wengi sana wametumika.
CodeUnique flower ukauza magari?? Uza flower na mbolea yake kwa siku hukosi laki 3 mpaka 5, wateja ni wengi especially Telegram na unakuwa unahama miji mikubwa mikubwa tu watu wanajipatia mbolea saaafi na maua yake.
All the best
Shida ni boss anapoweka unrealistic targets na yeye katika theories zake anaona hizo ndiyo sahihiSales and Marketing is such a work kwa ajil ya watu smart na wenye utayari wa kujifunza na kujaribu mambo mapya. Sio kazi nzuri kwa mtu mwenye "employment mindset" na kama uko hivyo kimbia.
Kwenye sales u get paid for the value u bring in not for the time spent.!.
Ushauri wangu kwa vijana ni huu:
Kwa mfumo wa uchumi wa sasa katika nchi za kiafrika, kusokekana kwa ajira, hio ndio njia tunayoelekea.Vijana ACHENI UVIVU kumbatieni mabadiliko.Huku tjnakoelekea NO BODY will be interested kukuajiri wewe na kukulipa wakati HUINGIZI CHOCHOTE .Wenzetu ulaya na amerika huko walishafika kitambo sanaaa...
HII NI FURSA NZURI. Yani mtu kashatafuta PESA NA MTAJI WAKE halaf wewe huna kitu chochote ILA ANAKUITA UPATE KU SHARE PESA YAKE kwa wewe kuingiza SKILLS zako tuu.. yan naamka kwenda kuuza mali ambayo mtaji si wangu lakini STILL I GET PAID.
Ila sasa ukitaka kugombana na vijana waambie kuwa hii ni kazi, WATAKUONA KAMA UNAWAPOTEZA. Wanaona AIBU SANAAA KUUZA hawazionei aibu shida zao kwa kukaa vijiweni au kuomba omba na kipiga mizinga..
USHAURI WANGU KWAKO mleta mada.
NENDA KAFANYE KAZI.
Nimekupata kaka na uko sahihi.Mimi nililiongelea katika perspective ya sales person.Upande wa pil kwenye targerts huko huwa majanga sanaShida ni boss anapoweka unrealistic targets na yeye katika theories zake anaona hizo ndiyo sahihi
Sijawahi kua sales kwenye magari so acha nikupe mfano ninaoujua. Mfano kampuni ina mashine za kumwagilia za solar unagewa target uuze mitambo 3 katika mwezi.
Mtambo mmoja ni Milioni 20 mpaka 40. Ila kuna mtambo wa mchina wa kutumia mafuta unauzwa milioni 2 mpaka 8.
Huu wa milioni 8 unaweza kufanya kazi ya mtambo wa milioni 20.
Ingawa mtambo wa solar ni faida in a long run ila siyo wakulima wote wanaweza kumudu.
Sijui unapata picha hapa?
Do you look beautiful?Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja, nawapata wapi.
Kupitia nyie naomba ushauri ni kuuza magari ya aina zote hadi umpate mtu akubali kununua gari la ml 25 au ml 200 huwa mnawapataje?? Naomba ushauri kabla sijakubaliana