Msaada: Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja

Nimekupata na ndio inapoleta shida yaani anajua wewe unawateja wahapo na hapo
 
Makubwa aisee
 
Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja, nawapata wapi.

Kupitia nyie naomba ushauri ni kuuza magari ya aina zote hadi umpate mtu akubali kununua gari la ml 25 au ml 200 huwa mnawapataje?? Naomba ushauri kabla sijakubaliana
Usiogope bhana.Sikia ukiingia mtandaoni Kuna kozi ya sales and marketing.Ipitie ndugu,itakusaidia Sana.
HAKIKISHA unayajua MAGARI ubora wake,jinsi matumizi ya mafuta linavyotumia,je likiharibika spea zinapatikana kwa urahisi.
JIFUNZE KUTABASAMU
Nenda kwa Mwamposa kuombewa na usisahau kutoa sadaka ya shukrani.
Ingia Facebook,insta,teleg,Anza kutangaza Biashara yako,weka na picha za kutosha.
Pia unaweza kutoa vipeperushi ukavisambaza maeneo ya maduka,ofisini kwa watu huku ukiweka kontakti zako
HAKIKISHA WEWE NDO UNAFAHAMIANA NA WATEJA.MAANA ITABIDI NA WEWE UJIFUNGULIE OFISI YAKO YA KUUZA MAGARI BAADA YA KUPATA MTAJI,USIBWETEKE.
NB:UKIUZA LAZIMA UTOE FUNGU LA KUMI
 
utakua mtu wa marketing
Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja, nawapata wapi.

Kupitia nyie naomba ushauri ni kuuza magari ya aina zote hadi umpate mtu akubali kununua gari la ml 25 au ml 200 huwa mnawapataje?? Naomba ushauri kabla sijakubaliana
 
Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja, nawapata wapi.

Kupitia nyie naomba ushauri ni kuuza magari ya aina zote hadi umpate mtu akubali kununua gari la ml 25 au ml 200 huwa mnawapataje?? Naomba ushauri kabla sijakubaliana
Naomba niunganishie hii kazi
Napenda sana maboss kama hawa
unajilia malipo kwa kadri ya ufanyaji kazi wako
mimi ni mjuzi wa masuala ya digital marketing so wateja kupatikana sio tatizo
labda ashindwe yeye kuclose deal
Ila napenda niwepo ofisi hiyo hiyo..
maana kuna watu nilikuwa nafanya nao kazi wanataka niwe remotely sasa deals zikiw closed ni ngumu kujua
 
Ni Arusha na sasa lazima tuwe partners ila kwa muda naweza kukutambulisha rasmi ukafanya mwenyewe ni makubaliano
 
Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja, nawapata wapi.

Kupitia nyie naomba ushauri ni kuuza magari ya aina zote hadi umpate mtu akubali kununua gari la ml 25 au ml 200 huwa mnawapataje?? Naomba ushauri kabla sijakubaliana
Naomba uniunganishe mm naipenda sana hiyo kazi[emoji1666]
 
Unapenda kaz ya digital marketing au kazi ya kuuza magari? I am serious mkuu
 
Unapenda kaz ya digital marketing au kazi ya kuuza magari? I am serious mkuu
Mimi ni mjuzi wa masuala ya digital marketing.
Naipenda kwa sababu unaweza ukainvest pesa kidogo kupata mteja atakaye cover ile gharama ya marketing na kisha ukapata na faida.
sasa kwanin nimepend hili suala la upande wa magari na mtindo huu wa commission based..
ni kwamba mteja mmoja wa gari ujimpata faida yake ni kubwa sana lets say ukainvest 100,000 kwenye ads..

Sindan kama utakosa mteja wa kukupatia commission ya 300,000 mpaka 500,000 ...namaanisha hapo mteja mmoja.

Nishawahi ifanya hii ila tu nilikuwa napigwa kwenye ganji πŸ˜‚πŸ˜‚ kwakuwa nilikuwa nafanya remotely..

Wewe ulikuwa unahitaji digital marketing au sales wa magari..

Napenda kufanya digital marketing kwenye biashara ya magari kwakuwa ina pesa ya nje nje
 
Mimi niko kwenye software industry chief..pengine tunaweza tukazungumza zaid pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…