Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,269
Ma legends,
Nimepata changamoto ya kusafiri na huyu wife material!
Changamoto ninayopitia ni kuwa kila tukianza safari ya utalii wa ndani, huwa tunaanza kwa pamoja, kanda ya kaskazini. Tunapotoka kanda ya kaskazini mimi huwa niweke pozi kanda ya ziwa. Hapo nitakaa muda kadhaa nikirukaruka kwenye yale mamiamba.
Sasa wakati naendelea kubarizi hapo kanda ya ziwa, mwenzangu hukimbia harakaharaka kwenda kanda ya kati. Nikitaka kumfuata huko, hunisisitiza niendelee kubaki hapo hapo kanda ya ziwa lakini yeye anakuwa bize huko kanda ya kati. Nimejaribu kutumia mbinu za kuzunguka nyanda za juu kusini ili niungane naye kanda ya kati lakini huwa naambulia kurudishwa kanda ya ziwa.
Akikaribia mwisho wa safari anakuita harakaharaka uungane naye kanda ya kati. Kwa hiyo natoka mbio ili nimuwahi hapo kanda ya kati. Sasa hii ratiba inaninyima uhuru wa mimi kuamua nimpitishe wapi ili afurahii utalii wa ndani. Kwa hiyo ma legends, naomba mbinu za nimbadilishia hiyo ratiba yake ya safari.