feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Habari zenu wakuu samahani kwa kuwasumbua mimi mgeni katika ulimwengu wa magari ila mwezi wa 5 nataka kununua gari baada ya kuchanga milioni kadhaa kwa ajili hiyo...naomba kufahamishwa hiyo gari mwenye kuifahamu
1.bei kwa mtu au ya kuagiza
2.ubora na comfortability ukiwa kwenye mwendo
3.upatikanaji wa vipuri
4.ulaji wa mafuta
5.matatizo yake kwa ujumla
1.bei kwa mtu au ya kuagiza
2.ubora na comfortability ukiwa kwenye mwendo
3.upatikanaji wa vipuri
4.ulaji wa mafuta
5.matatizo yake kwa ujumla