barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Habari zenu!
Kwa wale wazoefu wa pikipiki, naombeni kujua ni aina gani ya pikipiki mpya naweza pata kwa bei kati ya mil 2 mpaka 2.5, na ni maeneo gani hapa Tz, Dar naweza pata nikimaanisha maduka?
Pikipiki ni kwa ajili ya mizunguko binafsi ya hapa Dar, sio kwa ajili ya biashara (boda boda).
Asanteni.