barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Nunua boxer
Ni kiasi gani exactly? Na ina sifa gani? Alafu upande wa mafuta hivi vyomba vikoje? Mfano lita moja inaweza piga km ngapi?
Kwanza unatakiwa kuelewa je? Unanunua pikipiki ambayo kwabaadaye utahitaji kuuza au kwamba ata ukihitaji kuuza hautajari hasara zitakazojitokeza. Kama ni hivyo basi njoo Pm au Hapa nikusaidie.
We gamba acha blah blah nenda kko kuna dealers wa pikipiki aina zoteHabari zenu!
Kwa wale wazoefu wa pikipiki, naombeni kujua ni aina gani ya pikipiki mpya naweza pata kwa bei kati ya mil 2 mpaka 2.5, na ni maeneo gani hapa Tz, Dar naweza pata nikimaanisha maduka?
Pikipiki ni kwa ajili ya mizunguko binafsi ya hapa Dar, sio kwa ajili ya biashara (boda boda).
Asanteni.
Mil 2.2 unapata mafuta inatumia km 50~60 kwa lita 1.
boxxa nimeitumia kama mwaka ni nzuri ulaji wa mafuta hauna tofauti sana na pikipiki nyingine za kichina.
We gamba acha blah blah nenda kko kuna dealers wa pikipiki aina zote
Acha kusumbua server ya jf hapa
Habari zenu!
Kwa wale wazoefu wa pikipiki, naombeni kujua ni aina gani ya pikipiki mpya naweza pata kwa bei kati ya mil 2 mpaka 2.5, na ni maeneo gani hapa Tz, Dar naweza pata nikimaanisha maduka?
Pikipiki ni kwa ajili ya mizunguko binafsi ya hapa Dar, sio kwa ajili ya biashara (boda boda).
Asanteni.
Chukua Kapor sports 150cc, hutajuta. Bei yake kwa dar inaweza kua ni 2.5 mil
Weka picha yakeKinetic Striker nzuri kweli, 1 liter per 40Kms, Ina gia 5, Nguvu sana, Ila ni for luxury, Imetulia!!