Msaada nataka kuongeza uzito sababu na mwili mdogo sana

bet master

Senior Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
101
Reaction score
23
habar wakuu.kama nlivyojieleza mm ni me my age is 23 uzito wangu n 50kg urefu n 168cm nahitaji lishe za kuongeza atleast 7-10 kg sina tatizo lolote na nmeridhika na maisha sina tatizo kabisa na pesa
 
habar wakuu.kama nlivyojieleza mm ni me my age is 23 uzito wangu n 50kg urefu n 168cm nahitaji lishe za kuongeza atleast 7-10 kg sina tatizo lolote na nmeridhika na maisha sina tatizo kabisa na pesa
Brother..
una uzito pungufu au kitaalam underweight as per Body Mass Index. .unapaswa kuongeza takribani kilo 10 na zisizidi 18 kula vyakula vya protini kwa wingi kama samaki,nyama na mayai wakati huo huo kula mboga za majani au tumia nyanya angalau moja kwa siku kama Anti-Oxidant na mzoezi vile vile
 
Kula maziwa ya unga ya NIDO. NB: Uwezekano wa kuota kitambi pia ni mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…