Msaada: Nataka kupata ujauzito.

Pombe ukinywa kupitiliza kila siku huharibu kizazi kwa mwanaume tena shukuru Mungu kama kifanyio kinafanya kazi wengine huwa kinapalalaizi kabisa
Mkuuu nakuomba tafadhali usirudie kuidhalilisha pombeeeee.
Tofauti na hapo unanitafutia ban
 
Mnatafta mtoto huku mnakunywa pombe Kali huko hata ka ungeshika mimba huyo mtoto angepata matatizo. Kunywa pombe si sifa zaid ya kuharibu afya na mwili.
Hivi nyie hupotoshaji huuu mnauleta hapa bahati mbaya au maksudi? Hivi baaa zinavyojaza wanaume kila siku mimba ngezitoa wapi kama pombe ni tatizo?
 
Aende kwa Wataalam ili wamchunguze kama ana uwezo wa kutia mimba au la. Na kama jibu hana uwezo wa kutia mimba ni vipi wanaweza kumsaidia (kama wana uwezo wa kumsaidia) kila la heri.

Sasa ni kwamba inaweza kutibika au ndo basi?
 
Kama Hukukusidia Kutafuta Kiki hapa!
Basi Ushauri Wangu Mpige Na Chini Huyo Chapombe, Halafu Jaribu Zari Kwa Mwengine! Lakine Usiishie Kucheza Gemu Za Kirafiki tu! Bali ingia Kwenye Ligi Kamili. Namaanisha Asikugonge Kiaina! Bali Akuowe Kabisaaa!!!
 
Wote wewe na mumeo nendeni hospitalini mkafanye vipimo vya uzazi kwa pamoja mtapata jibu sahihi au kamwone Dr Mwaka Atawasaidia!
 
wish ingekuwa nafasi yangu nataman sana kupata mtoto any way Mimi sio mtaalam ila nenda na mwenzi wako hospital kama iki fail plz ni Pm tuone tunasaidiana vip
Jaribu Tiba asilia wewe na mwenzi wako mtumie dawa naimani kichanga kitaonekana. Ukishindwa tuwasiliane kama upo karibu na Mwanza ntakusaidia wewe na mwenzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…