MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Bamia, magadi, chumvi, karanga....Wasalaam ndugu zangu,
Kuna mboga fulani inaitwa mlenda niliwahi kula zamani kidogo,
inakuwa imelojeka sana. Sasa kutokana na kuisoma namba nataka nijifunze kupika hii kitu ili kubana matumizi. Naomba msaada wa viungo vyake.
Natanguliza Shukrani.
Pia umesahau majani ya mabogaBamia, magadi, chumvi, karanga....
Hivyo ni viungo vyake....
Jinsi ya uandaaji, ukihitaji utajuzwa,
Shukrani mkuuuPia umesahau majani ya maboga
Bamia, magadi, chumvi, karanga....
Hivyo ni viungo vyake....
Jinsi ya uandaaji, ukihitaji utajuzwa,
Nunua bamia,katakata na majani ya maboga tia chumvi acha vichemke kama nusu saa then ipua,au unamaanisha mlenda wa usiku?
Mbuyane wang'u, ikhonda na mahunga[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwetu singida hii ndio mboga yetu kila mlo
Ikhonda ndio nyanyi
Mahunga
Ghula sans
Mlenda upi unaongelea? Upo ule wa asili, upo wa kupika bamia peke yake, upo wa bamia na majani ya maboga au mchicha.
Dogo unamaanisha wa bamia tupu?Nataka ule wa bamia,
Halafu huo wa asili unafanyaje kuupata?
Dogo unamaanisha wa bamia tupu?
Wa asili sijui huko uliko utaupataje kwakweli.
Ndio ni mimi, niambie mdogo wangu!Hehehehehehe!
Kumbe ni wewe aisee..
π±π±π±π±π±π±π±π±
Ndio ni mimi, niambie mdogo wangu!
Huko lumumba hata sijui unaupataje, njoo uchukue mie ninao kaka.Wewe Espy mimi ni kaka yako sana, tena saaaana!
Haya niambie mlenda wa asili naupataje?
Huko lumumba hata sijui unaupataje, njoo uchukue mie ninao kaka.