MSAADA: Nataka Kusafiri Na Bastola

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Hamjambo jambo!
Nimepata safari ya ghafla, kesho naenda Mambasa, sasa nilikuwa nina mpango wa kuchukua
pistol yangu, naomba msaada wenu wa kisheria, nilikuwa nauliza kuwa kama nitachukua pistol ninaruhusiwa kuingia nayo Mambasa, Leseni ya silaha nimetoa Dar. Au natakiwa nifanye nini kabla sijaenda huko??
 
Kaulize central police. Kova yupo kwa ajili hiyo
 

Jaribu ku-check na Jerry Muro.
 

Jaribu kuongea na mzee Tiba mvizie pale Mabibo.
 
Ungeenda Polisi jibu ungepata mapema. Hayo mambo ya silaha ni ishu nzito!
 
Mimi sikushauri kusafiri na siraha mana hapa mtu atakukosea kidogo unaweza kumZIZU hivi
 
Kwani masharti ya kuimiliki yanasemaje, nafikiri yatakuwa kwenye hati miliki yake? Lazima utakuwa unayajua ndio maana uanaimiliki. Wengi wa watanzania hawasomi mikataba au makubaliano, huwa wanasaini tu. Kama unaimiliki kwa ajili ya kujilinda basi utakuwa nayo muda wote lakini waulize waliokumilikisha.
 
mzee east africa free movement ni ya watu sio SILAHA...tena ukitaka tufunze east africa ni wewe kuingia kenya na silaha yako..wao wataingia kwetu na mashine gunz na kufanya kama walivyofanya nbc same na dsm pale ubungo mataa...booonge la movie ya ki-COMMANDOO...

Navyojua mie sheria ya nji haikuruhusu kusafiri na silaha nje ya mipaka ya tanzania ukiwwa kama raia wa kawaida...wapo watu ambao kazi zao say usalama wa taifa na interpol na wapelelezi binafsi wanaruhusiwa kusafiri na silaha zao...sasa mwenzetu wewe na bastola yako hiyo ulopata kwa kumnunulia gongo mjumbe wako wa nyumba 10 na kumpatia rushwa mzee wa serikali za mitaa na kuinunua kwa tshs laki 5 hapo upanga ili uifanyie "SELF DEFENCE"...kwakuwa serikali yako imeshindwa kuwalindeni wananchi wake...KENYA WAO WANALINDA WANANCHI NA WAGENI WAO...ndio maana majambazi yao yanakuja tanzania msikolindwa....

jibu sahihi...toa magazine ya hiyo bastola tupa uvunguni mwa kitanda chako na hiyo empty pistol mpatie mwanao wa std 1 achezee na wenzake kibarazani ...ukitoka mombasa mnyanganye dogo isafishe load ur magazine...weka kiunoni tukutane baa uanze kututishia tukikuzidi nyimbo kwa demu wako bar maid...(JUST KIDDIN)
 
hahahahahaha....wewe kiboko....asante sana, ubarikiwe ndugu yangu WHO CARES
 
mimi nataka kumiliki nitapataje kifaa hiki wakubwa, tena nataka ya risasi kama twenty ivi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…