Wizzo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 723
- 256
Jamani nifanyaje? Nataka niwe agent wa TBL huku arusha ila kuna mtu kanambia lazima niweze kununua kreti 1500 ndo ntapewa hio kazi. Lakini mi uwezo wangu ni kreti 200,je nifanyaje ili nifanikishe hii kazi. Naombeni msaada mwenye kuweza kunisaidia nifanye hii biashara.nimekaa nyimbani ajira hakuna nadhani hii inanifaa