Msaada: Nataka nianze kutumia dawa za usingizi katika kutuliza stress na mawazo

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Wadau nataka nianze kutumia dawa kwa ajili ya kupata usingizi ule mzito zaidi.

Maana nina mawazo na stress zinazonifanya nikose usingizi kabisa usiku kutokana na kufikiria mambo mengi kuhusu dunia na maisha.

Hivyo naombeni ushauri wenu kama kuna madhara yoyote naweza kuyapata nikiwa natumia dawa hizi.
 
Madhara yapo

Ukizoea hizo vallium kumeza utakua hata siku huna stress wala mawazo hutalala had umeze yan usingizi wako utakua wa kumeza dawa ndio ulale
 
Kwa nini usifanye mazoez ya kucheza mpira mwili unakuwa umechoka unalala usingizi mzito
 
Tumia amitritini... Ila lazma umuone daktar wa usingizi... Hawatoi ovyo hii dawa
 
Pendelea kula mananasi kabla ya kulala itakusaidia
 
bhangi ni tiba nzuri kwako, kuliko hayo madawa ya usingizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…