msaada: Nateseka kichwa kuwasha

mwitu

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
856
Reaction score
200
jamani huu mwaka takribani wa tano kichwa changu kinawasha, nimejaribu kumeza dozi ya mwezi(vidonge 30) bila nafuu, nimepaka mafuta ya asili lkn wapi! Km kuna mtu anajua dawa anisaidie kunitajia.
 
jamani huu mwaka takribani wa tano kichwa changu kinawasha, nimejaribu kumeza dozi ya mwezi(vidonge 30) bila nafuu, nimepaka mafuta ya asili lkn wapi! Km kuna mtu anajua dawa anisaidie kunitajia.

pole mkuu mwitu nakushauri uende kwa dakatari wa ngozi wanaweza kukupa msaada zaidi baada ya kukuangalia pia
 
Last edited by a moderator:
Chukuwa avocado changanya na ndimu, paka kichwa kizima, wacha nusu saa mpaka saa moja. Koga. Rudia hivyo hivyo kila siku ikiwezekana mara mbili, asubuhi mapema na usiku. Siku saba.
 
jamani huu mwaka takribani wa tano kichwa changu kinawasha, nimejaribu kumeza dozi ya mwezi(vidonge 30) bila nafuu, nimepaka mafuta ya asili lkn wapi! Km kuna mtu anajua dawa anisaidie kunitajia.

Je, ulikutana na wataalam wa ngozi? Usipende tu kukimbilia vitu vya asili unaweza kukuta tatizo ni dogo sana. Anza kwanza na daktari wa ngozi upate jibu lake.
 
ansanteni, nitaenda kuonana na daktari
 
Kama upo dar kamuone prof mgonda anapatikana IMTU kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi pia aga khan kuanzia saa moja jioni atatambua tatizo lako
 
Paka Vaida kwenye ngoz ya kichwa,made from Malawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…