ANKO JEI
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,302
- 2,462
Habari wakuu poleni na majukumu,naomba niende kwenye maada moja kwa moja.
Kwa muda mrefu nimekua nikisumbuliwa na mwili kuchomachoma hasa kuanzia kwenye ngozi ya kichwa mpaka kifuani na mgongoni,na hii hali hutokea joto la mwili likipanda,naweza kua juani,muda nafanya zoezi au kazi yeyote itayosababisha joto kupanda bhasi mwili huanza kuchomachoma,mwanzo ilikua kawaida ila kuanzia mwezi uliopita vimekua vikichoma kwa wingi sana na vinauma sana na nakosa raha ya kutembea kabisa..Naombeni msaada ndugu zangu