Msaada: Nateseka vidonda vya tumbo

Msaada: Nateseka vidonda vya tumbo

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Wanajamvi vidonda vya tumbo vinatesa sana aisee yaani mpaka mbavu na kifua vinabana naombeni anejua sawa anisaidie nikipona nampatia zawadi kubwa sana wadau nateseka sana yaani Sina aman Sasa hivi ni mweai mzima tangia vianze kunisumbua.
 
Ulishajaribu hii?

images.jpeg
 
Wanajamvi vidonda vya tumbo vinatesa sana aisee yaani mpaka mbavu na kifua vinabana naombeni anejua sawa anisaidie nikipona nampatia zawadi kubwa sana wadau nateseka sana yaani Sina aman Sasa hivi ni mweai mzima tangia vianze kunisumbua
Tafuta dawa inaitwa Nitragen inazalishwa na NIMRI. Itakusaidia utapona kabisa.
 
Hio dawa peke yake haiwezi kumaliza Vidonda vya tumbo, inabidi kwanza akafanye vipimo ijulikane what exactly is causing hizo stomach ulcers zake ndo waone ni drug combination gani itafaa kwa ajili yake.
Kingine cha muhimu kwenye treatment ya ulcers ni kuepuka at all vile visababishi vya ulcers, vitu kama stress na baadhi ya chakula unatakiwa uviepuke ili upone vizuri.
 
Hivi vidonda vya tumbo huwa vinaisha kumbe?
Mimi najua zipo dawa ambazo zinabuy time hata miezi miwili mitatu bila maumivu
 
Wanajamvi vidonda vya tumbo vinatesa sana aisee yaani mpaka mbavu na kifua vinabana naombeni anejua sawa anisaidie nikipona nampatia zawadi kubwa sana wadau nateseka sana yaani Sina aman Sasa hivi ni mweai mzima tangia vianze kunisumbua.
Pamoja na dawa lkn pia vyakula ni muhimu kuzingatia kutotumia vyakula au vionjo vinavyochochea tatizo kuwa kubwa.
 
Hivi vidonda vya tumbo huwa vinaisha kumbe?
Mimi najua zipo dawa ambazo zinabuy time hata miezi miwili mitatu bila maumivu
Kabisa mkuu, vinaisha kama umeviwahi na unafata maelekezo aliyokupa daktari effectively.
 
Hio dawa peke yake haiwezi kumaliza Vidonda vya tumbo, inabidi kwanza akafanye vipimo ijulikane what exactly is causing hizo stomach ulcers zake ndo waone ni drug combination gani itafaa kwa ajili yake.
Kingine cha muhimu kwenye treatment ya ulcers ni kuepuka at all vile visababishi vya ulcers, vitu kama stress na baadhi ya chakula unatakiwa uviepuke ili upone vizuri.
Mkuu nilienda tumbi nikapewa Omeprazole na antacid naona haijanisaidia aisee
 
Back
Top Bottom