Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hapana
Tafuta dawa inaitwa Nitragen inazalishwa na NIMRI. Itakusaidia utapona kabisa.Wanajamvi vidonda vya tumbo vinatesa sana aisee yaani mpaka mbavu na kifua vinabana naombeni anejua sawa anisaidie nikipona nampatia zawadi kubwa sana wadau nateseka sana yaani Sina aman Sasa hivi ni mweai mzima tangia vianze kunisumbua
Hapana
SawaNicheki mkuu,Nina dawa,wiki moja tu vidonda utavisikia
SawaTafuta dawa inaitwa Nitragen inazalishwa na NIMRI. Itakusaidia utapona kabisa.
Nina dozi ya Omeprazole na antacid naona Haina hata nafuu aiseeMeza pantoprazole na antacid.....
Pantoprazole ni nzuri zaidi ya omeprazole.Nina dozi ya Omeprazole na antacid naona Haina hata nafuu aisee
Hiyo uliyosema inauzwa Bei ganiPantoprazole ni nzuri zaidi ya omeprazole.
Ila pia kama hali si hali kachome hiyo sindano joanah kakuambia hapo juu ya kutuliza fasta, then unaendelea na vidonge.
Hio dawa peke yake haiwezi kumaliza Vidonda vya tumbo, inabidi kwanza akafanye vipimo ijulikane what exactly is causing hizo stomach ulcers zake ndo waone ni drug combination gani itafaa kwa ajili yake.
Kuna maduka inauzwa 1000 kidonge kimoja kwingine hadi 700....Hiyo uliyosema inauzwa Bei gani
Hio dawa peke yake haiwezi kumaliza Vidonda vya tumbo, inabidi kwanza akafanye vipimo ijulikane what exactly is causing hizo stomach ulcers zake ndo waone ni drug combination gani itafaa kwa ajili yake.
Kingine cha muhimu kwenye treatment ya ulcers ni kuepuka at all vile visababishi vya ulcers, vitu kama stress na baadhi ya chakula unatakiwa uviepuke ili upone vizuri.
Asante aiseePole sana mkuu
Pamoja na dawa lkn pia vyakula ni muhimu kuzingatia kutotumia vyakula au vionjo vinavyochochea tatizo kuwa kubwa.Wanajamvi vidonda vya tumbo vinatesa sana aisee yaani mpaka mbavu na kifua vinabana naombeni anejua sawa anisaidie nikipona nampatia zawadi kubwa sana wadau nateseka sana yaani Sina aman Sasa hivi ni mweai mzima tangia vianze kunisumbua.
Kabisa mkuu, vinaisha kama umeviwahi na unafata maelekezo aliyokupa daktari effectively.Hivi vidonda vya tumbo huwa vinaisha kumbe?
Mimi najua zipo dawa ambazo zinabuy time hata miezi miwili mitatu bila maumivu
Msaidie mleta mada apone kabisaKabisa mkuu, vinaisha kama umeviwahi na unafata maelekezo aliyokupa daktari effectively.
Mkuu nilienda tumbi nikapewa Omeprazole na antacid naona haijanisaidia aiseeHio dawa peke yake haiwezi kumaliza Vidonda vya tumbo, inabidi kwanza akafanye vipimo ijulikane what exactly is causing hizo stomach ulcers zake ndo waone ni drug combination gani itafaa kwa ajili yake.
Kingine cha muhimu kwenye treatment ya ulcers ni kuepuka at all vile visababishi vya ulcers, vitu kama stress na baadhi ya chakula unatakiwa uviepuke ili upone vizuri.