whang
Member
- Jun 3, 2018
- 80
- 68
Habari wakuu,Mimi ni mwanaume umri miaka 22.
Kilichonifanya niandike hapa ni kuhusu tatizo nililonalo linalonisumbua.
Mimi ni mnene na kilo 75 na urefu 160cm.
Shida inakuja nauchukia mwili wangu hasa upande wa kuvaa.yaani na makalio makubwa kidogo,mbaya zaidi kalio moja kubwa kuliko lingine na limejigawa yaani upande wa juu kubwa na wa chini dogo imepelekea hata nikivaa Nguo za kuchomekea lile kalio lingine lilojigawa linaweka mchomozo.kitu ambacho kinanyima raha sana wakuu nakua sina confidence mbele za watu.
Naombeni msaada wakuu was Dawa hata wa mawazo.asanteni