MSAADA Nateseka

whang

Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
80
Reaction score
68
Habari wakuu,Mimi ni mwanaume umri miaka 22.
Kilichonifanya niandike hapa ni kuhusu tatizo nililonalo linalonisumbua.
Mimi ni mnene na kilo 75 na urefu 160cm.
Shida inakuja nauchukia mwili wangu hasa upande wa kuvaa.yaani na makalio makubwa kidogo,mbaya zaidi kalio moja kubwa kuliko lingine na limejigawa yaani upande wa juu kubwa na wa chini dogo imepelekea hata nikivaa Nguo za kuchomekea lile kalio lingine lilojigawa linaweka mchomozo.kitu ambacho kinanyima raha sana wakuu nakua sina confidence mbele za watu.
Naombeni msaada wakuu was Dawa hata wa mawazo.asanteni
 


Hilo mbona siyo tatizo kubwa mkuu, jaribu kuwa unavaa suruali pana kiasi kuruhusu hayo maumbile yasijichore na kuonekana.
 
Hilo mbona siyo tatizo kubwa mkuu, jaribu kuwa unavaa suruali pana kiasi kuruhusu hayo maumbile yasijichore na kuonekana.
Mkuu nimekuelewa lakini nikivaa Nguo za kawaida haionekani tatizo nikichomekea lile kalio lilijigawa Nyama hujichomoza
 
Pole kijana, kama unene wako unatokana na style yako ya maisha basi jaribu kubadili hiyo style. Kama unene wako ni wa asili basi tafuta mavazi yanayoweza kukustiri.
 
Kwanza jiamini na jipende mkuu. Kuna watu kama Iddi Amin Dada waliweza kuzitawala falme pamoja na kwamba walikua na sura na maumbo mabaya. Pili fanya mazoezi ya viungo kwa bidii sana kuufanya mwili wako kuwa stable wakati wote. Kuwa bize kuzalisha mali na usijali kuhusu muonekano wako! Uko vizuri mkuu ni wewe tu kuamua ushughulikie nini katika maisha yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…