P Phoenix Bird Member Joined Jan 27, 2014 Posts 8 Reaction score 3 Nov 5, 2015 #1 Wana jukwaa nikwamba nina hali ya kutokwa jasho jingi nikifanya zoezi. Yaani kulowa jasho kawaida. Wakati mwingine hata ninapokula natokwa jasho. Je tatizo ni nini na linaishaje? Maana nakunywa Maji ya kutosha mpaka lita 2 kwa siku.
Wana jukwaa nikwamba nina hali ya kutokwa jasho jingi nikifanya zoezi. Yaani kulowa jasho kawaida. Wakati mwingine hata ninapokula natokwa jasho. Je tatizo ni nini na linaishaje? Maana nakunywa Maji ya kutosha mpaka lita 2 kwa siku.
K Kifyatu JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 3,382 Reaction score 3,220 Nov 6, 2015 #2 Phoenix Bird said: Wana jukwaa nikwamba nina hali ya kutokwa jasho jingi nikifanya zoezi. Yaani kulowa jasho kawaida. Wakati mwingine hata ninapokula natokwa jasho. Je tatizo ni nini na linaishaje? Maana nakunywa Maji ya kutosha mpaka lita 2 kwa siku Click to expand... Kwa kawaida kutokwa jasho jingi sio mbaya lakini jaribu kuangalia kama huna shinikizo la damu (high blood pressure). Pia, punguza matumizi ya chumvi. Chumvi inakufanya u-retain maji mengi mwilini na ndio yanayotoka ukifanya mazoezi. Mimi sio daktari wa watu wala bwana lishe. Tusubiri wataalam waje. Kama una high blood pressure jaribu umuone daktari haraka kwa sababu huo ugonjwa unajulikana kama silent killer lakini unatibika kirahisi sana.
Phoenix Bird said: Wana jukwaa nikwamba nina hali ya kutokwa jasho jingi nikifanya zoezi. Yaani kulowa jasho kawaida. Wakati mwingine hata ninapokula natokwa jasho. Je tatizo ni nini na linaishaje? Maana nakunywa Maji ya kutosha mpaka lita 2 kwa siku Click to expand... Kwa kawaida kutokwa jasho jingi sio mbaya lakini jaribu kuangalia kama huna shinikizo la damu (high blood pressure). Pia, punguza matumizi ya chumvi. Chumvi inakufanya u-retain maji mengi mwilini na ndio yanayotoka ukifanya mazoezi. Mimi sio daktari wa watu wala bwana lishe. Tusubiri wataalam waje. Kama una high blood pressure jaribu umuone daktari haraka kwa sababu huo ugonjwa unajulikana kama silent killer lakini unatibika kirahisi sana.