Msaada: Natokwa na maziwa kwa miaka sasa, ni kawaida au nitakuwa na tatizo?

Msaada: Natokwa na maziwa kwa miaka sasa, ni kawaida au nitakuwa na tatizo?

Natokwa na maziwa kwa miaka sasa maziwa tena maziwa mengi,

Bahati mbaya nikajishika nyonyo yanaruka,

Hata (babe) akinyonya nyonyo ananyonya maziwa maana yanatoka tu....

Ni kawaida au ni ugonjwa niende hospital ??

Siku zinavyozd kwenda naona yanazidi kutoka mengi
Ndio... Nenda hospital.. labla Una matatizo ya homoni.. high prolactin level inasababisha pia
 
Ni hali inatokea, hasa uwingi wa hormones. Iliwahi kumtokea moja wa ex zangu katika mtanange nilishika nyonyo yakaruka maziwa. Ilibidi nifanye tafiti ndio nikagundua ni suala la wingi wa hormones.
 
Pole Sana Mu-mama. Baadhi ya mambo ambayo huweza kusababisha hali hiyo ni;
  1. Mabadiliko ya Homoni: Mabadiliko katika viwango vya homoni, hasa prolactin, vinaweza kusababisha maziwa kutoka. Hali hii inaweza kutokea kutokana na matatizo ya tezi (kama vile hypothyroidism) au mabadiliko ya mwili kama vile uzito.
  2. Matumizi ya Dawa: Dawa kama vile antipsychotics au baadhi ya dawa za kuzuia mimba zinaweza kuathiri homoni na kusababisha kutokwa na maziwa.
  3. Shida za Kisaikolojia: Mambo kama mfadhaiko wa kihisia au hali ya wasiwasi inaweza pia kuathiri mwili na kusababisha tatizo hili.
  4. Kuvimba kwa Tezi za Matiti: Hali kama mastitis au duct ectasia inaweza kusababisha kutokwa na maziwa.
Tiba: Tiba itategemea chanzo cha tatizo. Unashauriwa:

  • Kutafuta ushauri wa daktari ili kufanyiwa uchunguzi wa kina.
  • Kuwa na vipimo vya homoni kama prolactin na testosterone ili kubaini tatizo.
  • Kuweza kuchukua dawa atakazo kushauri daktari kama kutakuwa na tatizo la homoni.
  • Kuweka mtindo mzuri wa maisha kama lishe bora na mazoezi ili kusaidia kuboresha afya kwa ujumla.
Ni muhimu kutafuta ushauri wa kitaalamu ili kupata sababu halisi na matibabu sahihi.
Mwisho: Ushauri huu utalipia shilingi elfu tano tu. Tafadhali nitafute baada ya kumaliza kusoma.
Ahsante 5000 nitakupa wiki ijayo
 
Hili tatzo mke wangu pia analo,ila kuna wakuda wanadai ali hii hupelkea mwanmke asishike mimba is it true au n propaganda????
 
Hili tatzo mke wangu pia analo,ila kuna wakuda wanadai ali hii hupelkea mwanmke asishike mimba is it true au n propaganda????
Very true.
Kitendo cha homoni hii kuwa juu kwa sababu yoyote humaanisha/hutuma ujumbe kwenye mwili kuwa mama au mwanamke ananyonyesha. Hii hupeleza ujumbe hasi kwenye tezi na husababisha: mji wa mimba kutokuandaliwa au yai kutokuandaliwa.
 
SIRAAJUL MUNIYR HERBS MEDICINE

HORMONE IMBALANCE ( KUVURUGIKA/KUTOKUA SAWA KWA HOMONI)
👉 Hili ni tatizo linalowakumba wanawake wengi sana ambalo husababishwa na kiwango kidoga cha homoni ya ESTROGEN

🍀 SABABU ZA KUVURUGIKA HOMON🍀
👉Utoaji mimba
👉Kuwa na sumu mwilini
👉Mabadiliko ya hali ya hewa
👉Kutokula mlo kamili au mwenendo mbovu wa maisha
👉Uzito mkubwa
👉Athar za kemikali
👉Matumiz ya kisasa ya uzaz wa mpango

🌱 DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMON 🌱
👉Maumivu wakat wa tendo la ndoa
👉Mzunguuko wa hedhi kubadilika
👉Kutoshika ujauzito
👉Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa
👉Kuongezeka uzito na kutoa maziwa Hali ya kua haunyonyeshi na hauna kachanga
👉Kupoteza kumbukumbu
👉Damu kutoka nyingi wakat wahedhi au kutoa damu yenye mabonge mabonge
👉Uke kuwa mkavu au kukosa ute wa uzazi
👉Maumivu chini ya kitovu wakat wa hedhi
👉Allerg ya kuchagua chakula au kuona dalili kama mama mjamzito nk.

MADHARA YA KUTOBALANCE KWA HORMONE
👉Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
👉Mimba kuharbika mara kwa mara
👉Kuwa mgumba
👉Uvimbe kwenye via vya uzazi vya mwanamke, ovary sisytem ama fibroids
👉Kuziba kwa mirija ya uzazi
👉Kukosa hedhi
👉Kukosa hamu ya tendo la ndoa
👉Kupata hedhi mara mbili kwa mwezi au hedhi mfululizo
👉Saratan ya kizazi

Kwa ushauri na tiba za maradhi mbalimbali wasiliana nasi
what's app/call
+255656303019
~Chief Sang'ida
Natokwa na maziwa kwa miaka sasa, tena maziwa mengi. Bahati mbaya nikajishika nyonyo yanaruka.

Hata (babe) akinyonya nyonyo ananyonya maziwa maana yanatoka tu!

Ni kawaida au ni ugonjwa niende hospitali?

Siku zinavyozidi kwenda naona yanazidi kutoka mengi!
 
Back
Top Bottom