Msaada: Natokwa na maziwa kwa miaka sasa, ni kawaida au nitakuwa na tatizo?

Ndio... Nenda hospital.. labla Una matatizo ya homoni.. high prolactin level inasababisha pia
 
Ni hali inatokea, hasa uwingi wa hormones. Iliwahi kumtokea moja wa ex zangu katika mtanange nilishika nyonyo yakaruka maziwa. Ilibidi nifanye tafiti ndio nikagundua ni suala la wingi wa hormones.
 
Ahsante 5000 nitakupa wiki ijayo
 
Hili tatzo mke wangu pia analo,ila kuna wakuda wanadai ali hii hupelkea mwanmke asishike mimba is it true au n propaganda????
 
Hili tatzo mke wangu pia analo,ila kuna wakuda wanadai ali hii hupelkea mwanmke asishike mimba is it true au n propaganda????
Very true.
Kitendo cha homoni hii kuwa juu kwa sababu yoyote humaanisha/hutuma ujumbe kwenye mwili kuwa mama au mwanamke ananyonyesha. Hii hupeleza ujumbe hasi kwenye tezi na husababisha: mji wa mimba kutokuandaliwa au yai kutokuandaliwa.
 
SIRAAJUL MUNIYR HERBS MEDICINE

HORMONE IMBALANCE ( KUVURUGIKA/KUTOKUA SAWA KWA HOMONI)
👉 Hili ni tatizo linalowakumba wanawake wengi sana ambalo husababishwa na kiwango kidoga cha homoni ya ESTROGEN

🍀 SABABU ZA KUVURUGIKA HOMON🍀
👉Utoaji mimba
👉Kuwa na sumu mwilini
👉Mabadiliko ya hali ya hewa
👉Kutokula mlo kamili au mwenendo mbovu wa maisha
👉Uzito mkubwa
👉Athar za kemikali
👉Matumiz ya kisasa ya uzaz wa mpango

🌱 DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMON 🌱
👉Maumivu wakat wa tendo la ndoa
👉Mzunguuko wa hedhi kubadilika
👉Kutoshika ujauzito
👉Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa
👉Kuongezeka uzito na kutoa maziwa Hali ya kua haunyonyeshi na hauna kachanga
👉Kupoteza kumbukumbu
👉Damu kutoka nyingi wakat wahedhi au kutoa damu yenye mabonge mabonge
👉Uke kuwa mkavu au kukosa ute wa uzazi
👉Maumivu chini ya kitovu wakat wa hedhi
👉Allerg ya kuchagua chakula au kuona dalili kama mama mjamzito nk.

MADHARA YA KUTOBALANCE KWA HORMONE
👉Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
👉Mimba kuharbika mara kwa mara
👉Kuwa mgumba
👉Uvimbe kwenye via vya uzazi vya mwanamke, ovary sisytem ama fibroids
👉Kuziba kwa mirija ya uzazi
👉Kukosa hedhi
👉Kukosa hamu ya tendo la ndoa
👉Kupata hedhi mara mbili kwa mwezi au hedhi mfululizo
👉Saratan ya kizazi

Kwa ushauri na tiba za maradhi mbalimbali wasiliana nasi
what's app/call
+255656303019
~Chief Sang'ida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…