Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Salamu wana jukwaa mwaka 2013 nilifanyiwaga operation ya appendix sikuwai pata tatizo lolote kama navyosikiaga kwa wengine ila Leo nijeamka nina kama naisi maumivu nimejiangalia nikakuta kama uvimbe pembeni kubinya kidogo ukaanza kutoka usaha mdogo mdogo kama chunusi .Haiwezi kuwa na shida ndugu zangu