Msaada:Natokwa na usaha sehemu niliyofanyiwa operation ya appendix

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,587
Salamu wana jukwaa mwaka 2013 nilifanyiwaga operation ya appendix sikuwai pata tatizo lolote kama navyosikiaga kwa wengine ila Leo nijeamka nina kama naisi maumivu nimejiangalia nikakuta kama uvimbe pembeni kubinya kidogo ukaanza kutoka usaha mdogo mdogo kama chunusi .Haiwezi kuwa na shida ndugu zangu
 
Pole ndugu, kwa muonekano wa huo mshono wa operesheni sidhani kama kuna shida kubwa inawezekana ni chunusi iliyokuwa karibu tu na huo mshono.

USHAURI: Endelea kupafatilia kwa karibu ndani ya siku 2 kama tatizo litaendelea nenda kituo cha afya kwa uchunguzi na matibabu.
 
Ahsante sana ndugu
 
Pole sana ndugu,jaribu kwenda hospital huenda wakawa na jibu sahihi kuhusu hali hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…