Msaada: Natokwa na vipele vikavu kwenye mapaja na matakoni

Msaada: Natokwa na vipele vikavu kwenye mapaja na matakoni

Jsam1995

New Member
Joined
Nov 7, 2021
Posts
3
Reaction score
0
Jamani wazima nashida naombeni msaada wenu natokwa na vipele vikavu kwenye mapaja na matakoni na miguuni tatizo ni nn?
 
Eti mapajani na matakoni, mbona umeandika uzi mkavu mkuu, huogopi kutaja matako!

Wakikwambia weka picha?
Waelewa wataelewa maana nikiwashwa najikuna then upele unatoka na unaendelea kuwasha
 
Bro.... Kua sasa
Hayo maswali ni ya kumuuliza Doctor ukiwa hospitali au kituo cha afya kilicho karibu yako
 
Back
Top Bottom