Msaada natokwa sana jasho kwapani

jaribu deudorant ya forever living inakata jasho kabisa
 
Unanyoa nywele za kwapani? Jaribu kutumia poda hua inakata jasho la kwapani hasa ukipata ponds poda ya chungwa itakusaidia sana na uongeze usafi zaid na zaidi then urudishe mrejesho yani kila utokapo basi mimina poda makwapani mwako

nywele za kwapa kama hatanyoa lazma alowane kwapa, pia atumie deodorant ambazo zinakausha jasho
 
kutoa jasho ni moja ya njia muhimu sana ya kutoa taka mwili, kama hutaki kutoa jasho maana yake ni kwamba hutaki kutoa taka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…