Msaada: Natokwa sana jasho

Msaada: Natokwa sana jasho

Teamanaconda

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
602
Reaction score
564
Wakuu mi ninatatizo moja,yani naweza kukaa ofisini jasho likajaa kwenye kwapa shati lote linalowa kwenye kwapa,na kuhusu nywele za kwapani najithd kuziondoa kila mara,sasa kama kuna mtu anjua hili tatizo na dawa yake anisaidie kwa sababu hii hali naichukia kabisa,nawasilisha
 
Haina madhara! Ila ukitaka nzuri zaid ni gharama kubwa, kama una hela ntafute 0752720276
 
Back
Top Bottom