Msaada: Naumwa fangasi sehemu za siri kwa muda mrefu

sawa asante
 
asante sana
 
Tumia fluconazole tablet 1Γ—1 kwa siku 14
 
Hiyo ni zaidi ya fangasi mkuu,nakushauri rudia vizuri vipimo.Nimekutana na hizi kesi mara kibao sana na nikagundua kuna changamoto pia kwenye hizi maabara zetu.Na mara nyingi hiyo ni zinaa iliyokomaa ndiyo maana unachoma sindano bado mambo yanakuwa magumu.Kama ukithibitisha vinginevyo nitafute nikupe kombora ya lita 5 ya mzizi uliochemshwa utumie ndani ya siku 5.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana....mmesema inaitwa zakuni 😳😳😳,,.
 
Probably kaswende.
 
pole sana kaka
Nyie wachangiaji ambao hamchangii bila picha nawaombea mpate anal tags mje hapa tuwaombe picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…