Msaada: Nautafuta wimbo wa dini “Unitume mimi”

Msaada: Nautafuta wimbo wa dini “Unitume mimi”

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari za kwenu Wana jf?

Msaada tafadhali wa wimbo wa dini jina linaitwa "Unitume Mimi" yani Wanaume kwenye huu wimbo wanaimba kwa sauti kubwa sana harafu ina beat ni hatari,

Shida ni ninapo search nakuta nyimbo zingine pia zina jina hilo hilo la Unitume Mimi ila sijajua ni kwaya gani wameimba..
 
Back
Top Bottom