Msaada: Nauza popcorn na zinanilipa ila nataka kuongeza biashara nyingine

Appetizer

Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
93
Reaction score
29
Mimi ni mjasiliamali huwa nauza pop corn shuleni.Inanilipa vizuri.Nataka kubuni biashara nyingine zaidi na wateja wangu wakubwa ni wanafunzi.Unadhani ni biashara gani nikifanya itanipa pesa ukiondoa vyenye vimiminika maana vinakatazwa mashuleni kwavile ni rahisi kwa mlipuko wa magonjwa.Tupeane mawazo chanya maisha ni magumu mno.Nipo serious naomba mchangiaji uwe serious.Asanteni.
 
Clips,ubuyu,mihogo nk
 
Uza crips mchanganyiko(za mihogo ndizi viazi)uza ubuyu
 
Ati kuna msukuma mmoja hapa pembeni ananiambia si bora ungeboreshea hizo bisi kwa kuziongezea machejo...ati kuwa bisi za mayai au za chocolate wateja wangeongezeka madurufu..
 
Joti chips snacks na diamond Karanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…