Jamani nina miezi kaadhaa naangaika na tatizo la kuvimba upande wa jicho la kushoto mpaka mashavuni, nilipomuona daktari awali aliniandikia dawa hizi Celestamine na gluslovin but still tatizo likabaki palepale mbaali na hapo nimeshatumia ampiclox, cetrizine, na sasa njmepewa cephalaxin ndo naendelea nazo japo dozi inaelekea mwisho lakini sijaona mabadiliko bado NAHITAJI USHAURI WENU JAMANI