Msaada: Nawashwa koo na kukohoa sana baada ya kuingia chumvini!

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,708
Yapata mwezi mmoja sasa nawashwa koo na kukohowa isivyo kawaida baada ya kuingia chumvini.

Siku chache baada ya kuingia chumvini kwa binti mmoja alinitaarifu kuuwa alienda kupima afya na kupewa majibu kuwa yuko -ve HIV isipokuwa ana UTI kali ambayo atahitajika kuchanganyiwa dawa mbalimbali ili aweze kupona.

Mimi binafsi nimeshaenda kupima afya pia niko njema isipokuwa bado naendelea kuwashwa koo na kukohoa sana, naomba ushauri.
 
eheee jiandae kukatwa koromeo
cancer ya koo hiyo hahaha
 
Kwa nini ulizama mahali ambapo haparuhusiwi? Nenda kwa daktari akupe antibiotics... Sana sana Cipro...
 
Yapata mwezi mmoja sasa nawashwa koo na kukohowa isivyo kawaida baada ya kuingia chumvini.

Siku chache baada ya kuingia chumvini kwa binti mmoja alinitaarifu kuuwa alienda kupima afya na kupewa majibu kuwa yuko -ve HIV isipokuwa ana UTI kali ambayo atahitajika kuchanganyiwa dawa mbalimbali ili aweze kupona.

Mimi binafsi nimeshaenda kupima afya pia niko njema isipokuwa bado naendelea kuwashwa koo na kukohoa sana, naomba ushauri.

Huyo binti ana aleji na shawaha zako!
 
Back
Top Bottom