Msaada: Nawashwa mwilini

Davidson david

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2023
Posts
1,029
Reaction score
1,051
Jamani habari,

Nina tatizo la kuwashwa huu mwezi wa 7 nililala na demu akaniambukiza gonorrhea nikatibiwa na dawa likapona, tatizo la kuwashwa linaendelea.

Nimetumia dawa za allergy cream lakini siponi nmepima HIV mara 4 lakini sina kaswende sina.

Naombeni msaada anayefahamu dawa au aliye wahi kuugua aniambie dawa, mficha maradhi kifo humuumbua.

 
Shida ya kubeba milupo club na kugonga bila condom.

Rudi hospitali Fanya vipimo sahihi na vipimo vya aleji.

Kama upo Dar nenda Ekenywa hospital Magomeni.
 
Alooooooooooooo.
uzinzi utakuua
unatembea na wanawake hadi wenye gono
kwanini usiwashwe.

ungedeal zako na nyetto haya yote yasingekukuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…