Mzalendowavita
Member
- May 13, 2017
- 96
- 37
Poleni na majukumu ya kazi naomba kuhuliza swali? Nina mke wangu nilie zaa nae mtoto mmoja baada ya kuzaa tulienda kupandikiza kijiti lakin baada ya muda tukaona tunahitaji mtoto wa pili lakini ule muda kupandikiza kijiti bado haujaisha. Je? Naweza kwenda kukitoa ili nipate mtoto kabla ya huo muda kufika nisaidieni.