Msaada:Nawaza kutoa kijiti kabla ya muda wake kuisha ili nipate mtoto?

Joined
May 13, 2017
Posts
96
Reaction score
37
Poleni na majukumu ya kazi naomba kuhuliza swali? Nina mke wangu nilie zaa nae mtoto mmoja baada ya kuzaa tulienda kupandikiza kijiti lakin baada ya muda tukaona tunahitaji mtoto wa pili lakini ule muda kupandikiza kijiti bado haujaisha. Je? Naweza kwenda kukitoa ili nipate mtoto kabla ya huo muda kufika nisaidieni.
 
Ukikitoa kabla uyu mwanamke sina imani kama atashika ujauzito kirahisi
 
ndio kinatolewa tu, .... Ila siku nyingine muwe mnachagua njia ambayo mtaweza kuitumia vizuri, sio mtu anachagua kijiti cha miaka mitano af baada ya mwaka na nusu anataka kitolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…