willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,071
- 1,303
Mwenzio ahahitaji msaada, kama huna ni vyema kukaa kimya kuliko kuonyesha dhihaka.Mmh! Labda kama una kadi ya CHADEMA utapata hiyo hela ukienda pale Lumumba!
Mkuu tuna ugonjwa mbaya sana humu wa kudharau shida za wenzetu..... humu kuna watu unaweza usiamini kama ni watz wenzetu.... au inawezeekana hawajawahi kupata shida maishani mwao.... Binafsi sina hizo laki7 lakini ningekuwa nazo hata certificates zake nisingezihitaji kwa bond!Mwenzio ahahitaji msaada, kama huna ni vyema kukaa kimya kuliko kuonyesha dhihaka.
NotedMmh! Labda kama una kadi ya CHADEMA utapata hiyo hela ukienda pale Lumumba!
Mi mwanafunzi ndugu ninachomiliki ni laptop na simu tu na vyeti vyanguVyeti sio property. Ulipe usilipe haviwezi kumsaidia mtu mwingine. Tafuta mali inayoweza badilishika umiliki kuwa ya mtu mwingine, then njoo PM
Sasa mkuu maana ya bond iko wap kumbuka hio ni ndo dhamana yangu yaani nikipata pesa nakurudishia na wewe utanipa vyetu vyanguWeka bondi demu wako nakupa hela fasta sasa hayo makaratasi yatanisaidia nini wakati yana jina lako
Matako yako!kuna watu mnatafuta kuchafuliana siku mapema mapema,kama huna si ukaushe?mwenzako ana shida we unaleta masikhara?unaijua shida wewe?Weka bondi demu wako nakupa hela fasta sasa hayo makaratasi yatanisaidia nini wakati yana jina lako
Unajua bro kuna some circumstances mtu kama hujawahi ku experience ni ngumu sana kufeel na kuelewa mtu anapoizungumzia, kusoma kwa kujilipia au kusomesha mtu chuo kikuu kikuu ni changamoto kubwa sana. Me nimesomesha wadogo zangu watatu chuo kikuu wote kwa wakati mmja, naelewa sana changamoto zake, kuna ups&down nyingi sana, there is a time one has to postpone mitihani ya mwisho sbb imekosekana ada ya kulipia . Uskate tamaa ndugu, hali hii inakujenga sana na utafanikiwa sana.Mkuu tuna ugonjwa mbaya sana humu wa kudharau shida za wenzetu..... humu kuna watu unaweza usiamini kama ni watz wenzetu.... au inawezeekana hawajawahi kupata shida maishani mwao.... Binafsi sina hizo laki7 lakini ningekuwa nazo hata certificates zake nisingezihitaji kwa bond!
Inasikitisha mkuu.Mkuu tuna ugonjwa mbaya sana humu wa kudharau shida za wenzetu..... humu kuna watu unaweza usiamini kama ni watz wenzetu.... au inawezeekana hawajawahi kupata shida maishani mwao.... Binafsi sina hizo laki7 lakini ningekuwa nazo hata certificates zake nisingezihitaji kwa bond!
Mungu ampe hitaji lake mimi ninavyo vyangu ndani miaka 2 sasa vimekaa tu kama vipi nikopeshe nikuletee vyeti
Kwani wewe huna matako ? Itakuwa hapo ulipo umekalia kichwa ndiyo ukaweza kukomenti hiviMatako yako!kuna watu mnatafuta kuchafuliana siku mapema mapema,kama huna si ukaushe?mwenzako ana shida we unaleta masikhara?unaijua shida wewe?
Upo wapi? Weka specification za laptopMsaada wakubwa
Nipo dar mkuu laptop ina 2 gb ram , hdd 500gb dual core nilinunua mpya kabisa 500000Upo wapi? Weka specification za laptop
Na utafute dhamana nyingine tofauti na vyeti maana vyeti ni risk sana ikitokea majanga ya kuibiwa, kuungua moto utampa mtihani aliekukopesha