MSAADA: Naweza ingia faculty ya ECONOMICS

brian360

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
224
Reaction score
32
Nimepata "S" ECONOMICS,pia BAM nina "S" na O-level nilipata B.Math "C" nilichukua HGE nina II-12 kwamba Geog "C" na HSTRY "C" msaada wa mawayo yenu wana jamvi.
 
Kupata kozi ya Economics pure sidhani ka unaweza kupata kilahisi manake vyuo vinavyota ni vichache nadhani ni UD,UDOM na MZUMBE kutokana na ushindani, ila unuweza kusoma nyingine zinazo relate na Economic mf Economics policy, Geography n Economics nk...
NB Unaweza kutafuta info zaidi maana sijui sana point wanazochukuliwa kwa sasa kutokana na huu mfumo wa sasa wa TCU nimekujibu kutokana na uzoefu...
 
Huwez soma economics simply bcoz huna principal ya somo husika.over
 
Vipi mount Meru University
 
kwanza hakuna anayeweza kusoma FACULTY ya economics, uliza maana ya neno faculty.
 
Nimepata "S" ECONOMICS,pia BAM nina "S" na O-level nilipata B.Math "C" nilichukua HGE nina II-12 kwamba Geog "C" na HSTRY "C" msaada wa mawayo yenu wana jamvi.

S ya economics ndiyo nini?
 
Matokeo yangu ni geography E, economics E, na Maths F bt nataka kwenda kukata rufaa kwa matokeo ya hesabu vp step za kufuata kukata rufaa?
 
Ni pm kwa maelzo zaidi hop unaweza kusoma kama hutobagua vyuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…