Habari!
Nimepoteza leseni ya udereva, nimekamilisha taratibu zote za kupata mpya (renew).
Wamenipa kile kikaratasi chenye maelezo mafupi na tin number.
Ni lazima kulipia palepale wanapokuambia ukalipie au naweza kulipia kwa njia ya mitandao ya simu?
Thanks