Life matters
New Member
- Nov 21, 2022
- 2
- 3
Ndio. Tena nzuri hadi za 15 zipo. Cha kufanya usichukue pale stone town. Panda zako gari uende mbali na mji.
Ishi humo.
View attachment 2437955
Pale ukipata ya 50 ni kama ya 7,000 kaa Dar.Stone town ni za kuanzia sh ngapi ruaha basi na picha bana. Wee
Nicheki nikupe Lodge na dereva.Ndugu zangu ninategemea kuja Zanzibar kipindi cha mwaka mpya, hivi naweza pata guest ama lodge za bei rahisi kweli kama elfu 50 kushuka chini?
Achana na hapo pa kijinga sanaStone town ni za kuanzia sh ngapi ruaha basi na picha bana. Wee