Msaada naweza kupata wapi distributer au coil ya subaru impreza

KANYEGELO

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,238
Reaction score
4,885
Wakuu habarini naombeni msaada wapi naweza kupata distributor au coil ya subaru impreza cc 1490 gari ni ya mwaka 2005

sent from HUAWEI
 
Sio kweli boss. Hata passo inaeza na kelele. Sema ishu ni passion na labda kuingia hzo cost

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo kelele Kwenye Passo utaichokesha engine hasa Kwenye VALVE kwa sababu itakulazimu ufunge muffler nyingine huku ukilazimisha mfumo mpya inlet na outlet kufanya kazi tofauti na ilivyokuwa..

Kumbuka Subaru wamedesign engine zao (boxer engine) kupiga kelele pia hata muffler za subaru (subie rumble) ni tofauti kabisaaa na Toyota (Passo)
 
Nashukuru kwa msaada wenu hatimaye nimepata japo ni mkasi kidogo

sent from HUAWEI
 
Salam wakuu,

Msaada kwa mwenye kufahamu upatikanaji wa Transmission Speed sensor aina hii ambayo hufunga kwenye magari aina Terios, Town Ace, Rush na Passo.

Kwenye chimbo zangu kidogo nimezikosa..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…