Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwenye recycle bin utaipata hukoWataalamu naombeni msaada Kumbe nilifuta barua ya muhimu sana.
Sina utaalamu sana kwenye simu. Vitu ninavyodelete sijui hata vinaenda wapi?
Barua inahitajika sasa halafu haipo kwenye simu. Nilitumiwa WhatsApp
ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Kwan kabla ya kuwa kwako hiyo barua ilikuwa wapi?Hamna ðŸ˜
Fungua WhatsApp,nenda kwenye setting,fungua chats,fungua backup angalia kama Kuna email yoyote ambayo iliwekwa kwa ajili ya kufanya back up..utaiona kama ipo hiyo email.Alinitumia huko
Pole.Alinitumia huko
Asante madam ngoja niitafute chapPole.
Umejaribu App ya recovery files kule Google?
Inakupa hadi files ulizopoteza miaka 10 nyuma?
kuna App nyingi ila hiyo nayo ipo.
Ilishawahi nisaidiaga kipindi fulani.
Sasa sijajua kwa sasa kama ipo manaa App zimekuwa nyingi mno.
X wako?Anajidai dai ðŸ˜
SawaAsante madam ngoja niitafute chap