Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Nakushauri tu ucje ukaomba makoz kama bcom,BBA,BAF etc mwaka huu tcu na heslb wamespecfy kabsa kwamba hzo kozi co za vipaumbele so unaweza pewa mkopo au ukanymwa.over
unaweza kusoma bachelor of education in science na teaching subject yako ikawa maths na si vinginevyo!!! thanks!!Niko kwenye mchakato wa kuomba vyuo kupitia TCU. Nauliza kama inawezekana kusoma programmes za "Bachelor of Education in Science au Science with Education" ikiwa mimi nilisoma EGM? Naomba pia mnijuze kuwa ipi nzuri. Na kuhusu minimum points kwenye "Students Guide Book",je wanazingatia sana katika upangaji wa nafasi ktk chuo?